Programu za kitaaluma
Stashahada ya Sayansi ya Polisi, Teknolojia ya Maabara ya Tiba na Cheti cha Sheria.
Ujumbe wa Mkuu wa Chuo
Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam kinapenda kukukaribisha katika tovuti hii ya chuo. Chuo chetu ni moja ya vyuo vikongwe lakini chenye sifa ya kipekee, kinahudumia kuanzia askari mpaka raia wa kawaida.
Stashahada ya Sayansi ya Polisi, Teknolojia ya Maabara ya Tiba na Cheti cha Sheria.
Mafunzo kwa Maafisa Wateule na Wakaguzi Wasaidizi.
Mafunzo ya wakufunzi, udereva, wavamizi, takwimu na ustadi.